MICHEZONI# VIDAL wa Barcelona sasa kuwa nje msimu mzima akiuguza majeraha ya mguu
Mchezaji Aleix Vidal wa Barcelona atakuwa nje ya kambumbu kwa msimu mzima, hayaa yanatokea ni baada ya Vidal kupata majeraha katika kifundo cha mguu (ankle) huku timu yake
ikipata ushindi mnono wa magoli 6 - 0 dhidi ya ALAVEZ jumamosi iliyopita.
Taarifa toka katika timu ya Barcelona zinasema kuwa, Vidal aliumia vibaya kifundo cha mguu wa kulia ambapo kifundo hicho kilihama katika mahali pake pa awali (ankle dislocation) na alikipelekwa mapema katika hospitali ya VITORIA, hivyo atakuwa nje ya kandanda kwa miezi mitano ambayo ni sawa na kukosa kabisa msimu huu katika michuano ya LA LIGA
MICHEZONI# VIDAL wa Barcelona sasa kuwa nje msimu mzima akiuguza majeraha ya mguu
Reviewed by Unknown
on
Februari 12, 2017
Rating:
Post a Comment