Header AD

Idris Sultan kuwania nafasi ya kuhost tuzo za MTV MAMA 2016


Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwa mmoja kati ya wachekeshaji watakao host kwenye tuzo za MTV MAMA 2016.

Kupitia mtandao wa Instagram wa MTV wameandika, “Would you nominate@idrissultan to HOST @mtvmamas on 22.10.16 #mtvmama2016 NAY or YAY.”

Wasanii wengine wanaowania nafasi hiyo ni pamoja na Basket Mouth (Nigeria), Idris Elba (Uingereza) na Kelvin Hart (Marekani).

Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Oktoba 22 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini.
Idris Sultan kuwania nafasi ya kuhost tuzo za MTV MAMA 2016 Idris Sultan kuwania nafasi ya kuhost tuzo za MTV MAMA 2016 Reviewed by Unknown on Septemba 20, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads