NIKOHURU BLOG# Mfahamu kwa undani EDWARD SNOWDEN, JASUSI wa MAREKANI aliyevujisha siri za nchi yake
Edward Joseph Snowden, aliyezaliwa Juni 21, 1983 ni mtaalamu wa kiufundi wa Idara ya Usalama ya Marekani inayojulikana kama National Security Agency (NSA) na mwajiriwa wa
zamani wa CIA aliyevujisha siri za mifumo ya ufuatiliaji ya kielektroniki ya Marekani na uk (mass surveilance programs).
Snowden alivujisha siri hizo kwa mara ya kwanza kwa mwanahabari Glenn Greenwald wa gazeti la The Guardian ld London wakati wa spring 2013 akiwa ameajiriwa kama mchambuzi wa njia za mawasiliano katiak tawi la NSA (National Securuty Agency) linalojulikanma kama Booz Allen Hamilton. Kutokana na taarifa hizo za bwana Snowden gazeti la The Guardian lilichapisha habari za siri hizo Juni 2013 na kuweka wazi programu kama Uingiliaji wa data za simu za Marekani na Uingereza ikiwa ni pamoja na Programu kama The PRISM na TEMPORA ambayo inahusu mfumo wa ufuatiliaji wa taarifa kwa njia ya intaneti. Snowden alinukuliwa akisema kwamba uvujishaji wa siri alioufanya ni juhudi za "kuijuisha jamii kuhusu mambo yanayofanyika dhidi ya wananchi. Uvujishaji wa siri wa bwana Snowden unaelezewa kuwa moja ya matukio makubwa kabisa ya uvujishaji siri katika historia ya NSA.
Tarehe 14 juni 2013, waendesha mashitaka wa serikali ya marekani walimtuhumu Snowden kwa udadisi na wizi wa habari nyeti za serekali.
MAISHA YAKE BINAFSI NA ELIMU.
Alizaliwa mji wa Elizabeth, North Carolina na akakulia Wilmington North Carollina. Baba wa Snowden alikuwa afisa wa jeshi la ulinzi la pwani ya Marekani na mama yake ni karani katika mahakama ya serikali katika mji wa Maryland.
Mwaka 1999, Snowden alihamia Ellicott city, Maryland. Alisoma masomo ya kompyuta katika chuo cha Anne Arundel Community College ili kukamya kupata diploma lakini hakumaliza coursework. Baadaye alirudia masomo na kufaulu majaribio ya GED katika local community college. Pia alisoma online master's degree katika Chuo Kikuu Liverpool mwaka 2011. akiwa amefanya kazi katika military basse ya Marekani huko Japan,Snowden alikuwa na mapenzi ya tamaduni na lugha za kijapani na alisoma kijapani na kufanya kazi katika kampuni ya animation ya kisayansi huko Japani. aliwahi kuwa na mapenzi na martial arts na amewahi kutaja dini ya kibudha kama dini yake.
KAZI ALIZOWAHI KUFANYA.
Mei 7, 2004 alijisajili kwenye jeshi la Marekani kama mwanajeshi wa special force lakini hakumaliza mafunzo. alisema alitaka kupta ya Iraq alidhani ni wajibu wake kama binadamu kuwaweka wananchi wa Iraq dhidi ya manyanyaso. Pamoja na hayo anasema aliondolewa jeshini kutokana na kuvunjika miguu akiwa mafunzoni jeshini. Aliwahi kuajiriwana CIA akifanyakazi kwen kitengo cha IT Security. Mwaka 2006, Snowden aliandika kwenye programu ya Oniline inaohusisha wachakalikaji, Hackers na watengeneza hardware kwamba kupata kazi kwake si tatizo kwani yeye ni mchawi wa kompyuta. iliripotiwa na New York Times kwamba Snowden aliwahi kupata mafunzo ya Certified Ethical Hacker mwaka 2010 na kuelezea maisha yake kuwa ya kuridhika akIwa analipwa mshaharawa US $200,000.
Mpaka anaondoka Marekani mei 2013, alikuwa akifanya kazi kwenye consulting firm inayojulikana kama Booz Allen Hamilton huko Hawaii kwa mshahara wa $122,000.
Wakati maafisa wa intelijensia wanadai Snowden alikuwa system administrator yeye anadai alikuwa ni mchambuzi wa njia za mawasiliano (infrastracture analyst), ikimaanisha kazi yake ilikuwa ni kuingilia mifumo ya intaneti na simu ya dunia nzima. alisema kuwa alitafuta ajira NSA (National Security Agency), Aili kuku sanya taarifa juu ya mifumo ya ufuatiliaji ya NSA dunia nzima ili avujishe taarifa hizo.
SNOWDEN NA SIASA
Snowden alisema kwamba katika uchaguzi wa raisi wa mwaka 2008, alikipigia kura chama kisichokuwa na nguvu ya ushindi. alidai kwamba alikuwa akipanga kufichua siri kuhusu mifumo ya ufuatiliaji ya NSA wakati huo lakini aliamua kusubiri kwa kuamini katika ahadi za Obama. Lakini baadaye alivunjika moyo kuona kuwa obama anaendeleza sera za aliyemtangulia (ambaye ni Bush).
UVUZISHAJI KWENYE VYOMBO VYA HABARI
Snowden kwa mara ya kwanza aliwasiliana na documentary film maker Laura poitras jan 2013, Poitras alisema snowden alichagua kuwasiliana nae baada ya kuona report yake na ni mwanachma wa bodi ya fredom of press foundation.
Snowden aliandika ' naelewa nitafanywa nijute na kuangaika kwa matendo yangu na kurudisha taarifa kwa jamii kuna fanya mwisho wangu.
Snowden alielezea matendo yake kwa kusema "sitaki kuishi kwenye jamiiambayo inafanya matendo kama haya(serveline on its citizens), Sitaki kusishi kwenye dunia ambayo ambayo kila ninachofanya na ninachosema kina rekodiwa"
Snowden alijatambulisha kwa jamii kupitia gazeti la The Guardian june 9,2013. alisema " sina nia ya kuficha mimi ninani sababu najua hakuna baya nililofanya"aliongezea kwa kusema anatumai kujitambulisha kwake ame walinda wenzake kuwindwa ili kujua nani ana husika na uvuzishaji huu.
mwitiko wa jamii za kimataifa na marekani kuhusu uvuzishwaji
MAREKANI
The U.S. Director of National Intelligence, James R. Clapper, aliuzungumzia uvuzishwaji uliofanywa haujazingatia matokea au atahari zake, Nationa security Agency(NSA) waliiomba Department of Justice kuaendo uchunguzi dhidi ya matendo ya snowden. June 14,2013. waendesha mashitaka waliandaa mashitaka dhidi ya snowden ikiwemo
- Theft of government property,
- Unauthorized communication of national defense information,
- Willful communication of classified inteligence to an authorized person.
Rais wa zamani wa marekani Jimmy carter alisema alichofanya Snowden amevunja sheria ya Marekani lakini akasema kuingiliwa kwa haki za binadamu and America privacy has gone too far.
A Gallup poll aliyoendeshwa june 10-11 ilionesha 44% ya wamarekani waliona ilikuwa sawa kwa snowden kushirikiana nan vyombo vya habari kuhusu hizo taarifa wakati 42% waliona alikosea kufanya hivyo. kwa ujumla wamarekani wengi walikubaliana na kitendo alicho fanya snowden kulingana na uchunguzi uliofanywa na wengi walitaka asamehewe.
SERIKALI ZA ULAYA.
Waziri wa mamboya nje wa wingereza William Hague alikubali kuwa wingereza walikuwa wakispy na walishirikiana na NSA na alitetea matendo ya agencies hizo za kijasusi kuwa yalikuwa ni ya muhimu na nilazima kufanyika,Pia waziri wa ulinzi wa wingereza aliviandikia notice vyombo vya habari akiviomba viache kuchapisha habari za uvuzishajwi wa siri za kijasusi,
Serikali za ulaya zilikasirishwa na vitendo vilivyo fanywa na marekani na kusema kuwa havikubaliki na european justice commisioner Vivian rending alituma list ya maswali akihitaji maelezo lakini umoja wa ulaya una hofu kuwa uvuzishwaji huu unaweza kuathiri maongezi ya kibiashara kati yao na marekani(EU-US TRADEBTALKS)
Human right organisation
Senior Director of armnesty international alisema aliogopa kama Snowden angelizimishwa kurudishwa marekani basi angekuwa kwenye hatari kubwa.
China and Hong kong
wananchi wengi wa china waliunga mkono kitendo kilicho fanywa na snowden na kuitaka serikali yao isimpeleke marekani, pia waandishi wengi wachina walireport kuwa China inaogopa kujiusisha katika swala la snowden kwa kujua linawezan kuathiri mahusiano ya china na marekani(Sino-US relations)
Ecuador
baada Robert Menendez chairman of the United States foreign relations panel, kuwaonya ecuador kuwa kumkubali Snowden kutaharibu vipaumbele vy kibiashara ambavyo us imekuwa ikitoa kwa Ecuador.
Korea imevikosoa vyombo vya habari vya marekani kwa kuigemea kwa snowden na nchi zinazo muunga mkono badala ya kuangalia athari za uvuzishajwi wa nyaraka hizo. hata hivyo Ecuador hawakuonyeshwa kutishwa kwani walisema Usa ndion imekuwa ikinufaika kwenye uhusiano huo.
United Nations
Secretary General Ban Ki-moon alisema kilichofanya Ssnowden ni matumizi mabaya mawasiliano ya kidigitali
SOURCES, the guardian,REUTEUS,NEW YORK TIMES,CNN
NIKOHURU BLOG# Mfahamu kwa undani EDWARD SNOWDEN, JASUSI wa MAREKANI aliyevujisha siri za nchi yake
Reviewed by Unknown
on
Septemba 19, 2016
Rating:
Post a Comment