Header AD

Samatta, Ulimwengu na FIFA waipongeza Kili Queens kwa ubingwa wa CECAFA Woman Challenge


kilimanjaro-queens-702x336
Pongezi za kutosha zimetumwa kwa timu ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens kwa kushinda Kombe la CECAFA Woman Challenge kwa kuifunga Kenya, goli 2-1.
Shirikisho la soka duniani (FIFA), limetuma ujumbe wa pongezi kwa timu hiyo kupitia ukurasa wa Twitter wa FIFA Women’s World Cup kwa kuandika “HISTORY! Congratulations Tanzania @Tanfootball, winning the inaugural CECAFA Women’s Championship, by beating Kenya 2-1. #KilimanjaroQueens”
twiga-stars
fifa
Kilimanjaro Queens imepokea pia salamu za pongezi kutoka kwa Waziri wa Michezo, Nape Nnauye, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na kocha wa timu ya taifa ya wanaume ya Uganda, Milutin Sredojevic Micho.
nape
twiga


Samatta, Ulimwengu na FIFA waipongeza Kili Queens kwa ubingwa wa CECAFA Woman Challenge Samatta, Ulimwengu na FIFA waipongeza Kili Queens kwa ubingwa wa CECAFA Woman Challenge Reviewed by Unknown on Septemba 21, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads