VIDEO: Askari wa magereza walivyoonesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba
Leo January 13 2017 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amealikwa kufunga mafunzo maalum ya kikosi cha jeshi la magereza katika viwanja vya kikosi maalum cha kutuliza ghasia magerezani kilichopo Ukonga .
Askari hao wameonyesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba…
(Video-CREDIT to Millardayo web.)
Bonyeza play hapa chini kutazama.
VIDEO: Askari wa magereza walivyoonesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba
Reviewed by Unknown
on
Januari 14, 2017
Rating:
Post a Comment