NIKOHURU BLOG# Waziri Aaagiza Bungeni Shoga Maarufu Mitandaoni Akamatwe

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious"
kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.
NIKOHURU BLOG# Waziri Aaagiza Bungeni Shoga Maarufu Mitandaoni Akamatwe
Reviewed by Unknown
on
Februari 07, 2017
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Februari 07, 2017
Rating:


Post a Comment