Header AD

NIKOHURU BLOG# OFFICIALVIDEO: SARKODIE FT RUNTOWN – PAIN KILLER

Achana na ile Pain Killer ya C Sir Madini wa hapa Bongo, nimeikamata hii Pain Killer mpya na kali yakwakeSarkodie akiwa kamshirikisha mtu mzima Runtown humo ndani.

Hii ambayo nimeivuta kwako saa hii ni official video ya ngoma hiyo, bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuitazama intro to outro.

NIKOHURU BLOG# OFFICIALVIDEO: SARKODIE FT RUNTOWN – PAIN KILLER NIKOHURU BLOG# OFFICIALVIDEO: SARKODIE FT RUNTOWN – PAIN KILLER Reviewed by Unknown on Februari 04, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads