Header AD

OFFICIALVIDEO: A.K.A – THE WORLD IS YOURS

Mmoja kati ya ma-rapper wakali kinoma Africa ni huyo hapa A.K.A anayetokea Afrika ya Kusini. Amedropisha kichupa cha ngoma yake ya The World is Yours, ngoma ambayo audio yake iliachiwa miezi miwili iliyopita.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kukitazama kichupa hicho.

OFFICIALVIDEO: A.K.A – THE WORLD IS YOURS OFFICIALVIDEO: A.K.A – THE WORLD IS YOURS Reviewed by Unknown on Februari 04, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads