Header AD

NIKOHURU BLOG#MATUKIO MAKUU UEFA MCHEZO WA ARSENAL NA PSG

Michezo ya UEFA imeendelea usiku wa jana huku mchezo ambao Watanzania wengi walikuwa wanaangalia Arsenal huku wengine wakiwa wanaangalia Barcelona mchezo wa Manchester City umesimamishwa na unatarajiwa kupigwa leo majira ya saa nne kasoro robo.

Mchezo wa Arsenal ulikuwa na mambo mengi ambayo yalikuwa yanafurahisha mengine yalikuwa sio rahisi kuona matukio hayo, Cavan, Veratti pamoja na Giroud wametia fora katika mchezo huo.

EDSON CAVAN

Unaweza ukawa huna hata hofu ya usema kuwa ilikuwa sahihi Zlatan Ibrahimoc kumuweka benchi Edson Cavan, amekosa magoli ya wazi 3 yaani Arsenal wangekufa nyingi amekosa huku akionekana hajuti kwa makosa yake, japo huwezi kumkosa sana pia umpe pongezi Ospina kwa kuwa vizuri na kudaka magoli aliyokuwa anahitaji kufunga.

OLIVIER GIROUD

Mchezaji huyu anapata kadi nyekundu kwa  mechi za awali kabisa kumbuka mwaka jana alipata kadi Arsenal walikutana na Dyanamo Zegreb alikula kidonge hicho chekundu halikadhalika jana alipata kadi nyekundu akifanya ukorofi na Verrati zikiwa zimetolewa dakika za mwisho.


NIKOHURU BLOG#MATUKIO MAKUU UEFA MCHEZO WA ARSENAL NA PSG NIKOHURU BLOG#MATUKIO MAKUU UEFA MCHEZO WA ARSENAL NA PSG Reviewed by Unknown on Septemba 14, 2016 Rating: 5

Post AD

Propellerads